Escucha música y podcasts GRATIS en Amazon Music. Sin necesidad de suscripción.Escucha gratis 3031323334Ebu nituliza moyo jitimai
35363738Kuhimili maudhiko hilo sijambo rahisi
394041424344Hapendwi mtu yapendwa pochi
4546Nenda kamwambie bado nampenda
47umejigeuza punda fadhili zako mateke
48495051Moyoni nateseka sina raha ya dunia
52Naumwa natafuta kibanda nikalale
535455Sina mimi nimpendae zaidi ya wewe
56Wanganiapiza kwa midomo yao
5758Bure mahasidi simwachi dali
59Hisani hapana hata mazowea
606162Nafasi ni yako nimekuwekea
6364Sema utakacho sifiche muhibu
6566Japokua anitesa sitomuepuka fulani
676869Mkuna na mkunaji muona raha ni nani
7071Nimechoka kusema lilo kwa lilo
7273Sijaiona ngarawa ikashindana na meli
7475Bure bure mimi nawe kutesana
767778Mashangingi punguzeni urembo wenzenu mnawatatiza
79ni jiwe lipi lisagalo la juu na chini
80Nitendeni sijui lakulitenda
81Pendo usipende ng'ombe utatupa nguvu zako
82Tangu usafiri ewe muadhamu
83Wewe wapigaje mbizi maungo yaonekana
℗© Golden Star