24-12-2022
Namna Creators wanavyoingiza hela kwenye creator Economy
Creators na Creator Economy imefanya mengi makubwa ulimwenguni kwa huu mwaka .Tanzania pekee trends nyingi za burudani huu mwaka imeanzia kwenye Mange App pia kombe la dunia huu mwaka lilipambwa zaidi na creators
Mbanga ya Salt Bae kwenye Fainali za kombe la dunia , Deals za khaby lame na Gheto kids zinatosha kukupa ukubwa wa creator economy
2023 tunatarajia mengi sana kwenye creator Economy